" Simba Wampa Thank You Ahoua

Simba Wampa Thank You Ahoua

 

OFFICIAL ✍️

➡️ Jean Charles Ahoua (23) 🇨🇮 amejiunga na CR Belouizdad 🇩🇿 akitokea Simba Sc 🇹🇿

✅ Ahoua amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu ya kuitumikia klabu hiyo chini ya kocha wa zamani wa Yanga, Sead Ramovic 🇩🇪

Rasmi klabu ya Simba imetangaza kuachana na nyota wake Jean Charles Ahoua na kumtakia kila la kheri katika safari yake mpya.

Post a Comment

Previous Post Next Post