Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025
ikiendelea na mahojiano na wakazi wa Dar es Salaam kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi
huo katika ukumbi wa Karimjee jijini jana. Kulia ni Pericy Mabada aliyefiwa na ndugu akitoa maelezo kwa
wajumbe wa tume hiyo wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Ombeni Sefue (wa nne kulia), IJP
mstaafu, Said Mwema (wa tatu kulia), Dk Stargomena Tax na Balozi Paul Mella. (Picha na Robert Okanda).
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment