" Tutabeba Ubingwa wa AFCON Bila Kushinda Mechi

Tutabeba Ubingwa wa AFCON Bila Kushinda Mechi

 

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya 🇲🇱Mali Tom Saintfiet anaamini timu yake inaweza kutwaa ubingwa wa AFCON bila kupata ushindi wa aina yoyote ile.

“Tunaweza kubeba ubingwa wa AFCON bila kushinda mchezo wowote.”

  • Tom Saintfiet, kocha mkuu wa Mali.

Mali hadi hizi sasa;

Post a Comment

Previous Post Next Post