" SIMBA SC YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA TANZANIA PRISONS

SIMBA SC YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA TANZANIA PRISONS






Simba SC wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Februari 22, 2026.

Katika mchezo huo, mabao ya Simba yalifungwa na Seleman Mwalima katika kipindi cha kwanza, huku Rushine De Reuck akifunga bao la pili katika kipindi cha pili.

Kufuatia matokeo hayo, Simba SC wamefanikiwa kukusanya pointi tatu muhimu na kufikisha alama 22 katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post