" YANGA YAICHAPA 1-0 NAMUNGO LIGI KUU TANZANIA BARA

YANGA YAICHAPA 1-0 NAMUNGO LIGI KUU TANZANIA BARA







Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans Sports Club, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Namungo.

Bao pekee la mchezo huo lilifungwa dakika ya 25 na nyota mpya wa Yanga, Laurindo Aurelio ‘Depu’, na kuipa timu hiyo pointi tatu muhimu.

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment

Previous Post Next Post