" CAF: Kenya na Uganda Havina Viwanja Venye SIFA ya Kutumika AFCON

CAF: Kenya na Uganda Havina Viwanja Venye SIFA ya Kutumika AFCON

 

Baada ya Ukaguzi wa awali uliofanyika na CAF imeelezwa kuwa ingawa baadhi ya kazi za ukarabati na uboreshaji tayari zimeanza katika viwanja vya nchi, kiasi cha kazi kinachohitajika kufanyika bado ni kikubwa, imeshauriwa kasi ya utendaji kuongezwa ili kundana na ratiba ya maandalizi.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

 
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post