Na: Belnardo Costantine, Misalaba MediaMwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Utaratibu na Wenye Ulemavu) William Vangimembe Lukuvi umewasili mkoani Iringa kwa ajili ya shughuli za kuagwa na wananchi na wapigakura wake.Lukuvi amesafirishwa leo kutoka Jijini Dar es Salaam leo baada ya taratibu za kumuaga zilizoongea na Rais Samia Suluhu Hassan kukamilika jana katika Viwanja vya Karimjee.hatahivyo ratiba ya msiba inaonyesha shughuli za kumuaga kiongozi huyo na mwasiasa mwandamizi hapa nchini zinatarajiwa kufanyika kesho Jumatatu Machi 30, 2026 katika Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Kanisa Kuu- Kihesa Jimbo Katoliki Iringa. Mara baada ya mwili hl kuagwa utasafirishwa kuelekea Kijijini kwao Idodi kwa ajili ya maziko yatakayo fanyika Jumanne, Machi 31,2026.Aidha Waziri Lukuvi alifikwa na umauti Jumatatu Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa matibabu.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment