" MWILI WA MAREHEMU MHE. LUKUVI WAFIKISHWA IRINGA

MWILI WA MAREHEMU MHE. LUKUVI WAFIKISHWA IRINGA






Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ambayo imebeba waombolezaji na jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, ikiwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Iringa leo Machi 29, 2026.

Mwili huo umesafirishwa kutoka Dar es Salaam leo baada ya shughuli ya kuaga iliyofanyika jana Machi 28, 2026 katika Viwanja vya Karimjee.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

 
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254




Post a Comment

Previous Post Next Post