Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan, ameshiriki swala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI), Kinondoni jijini Dar es Salaam tarehe 21 Machi, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kushiriki swala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI),Kinondoni jijini Dar es Salaam tarehe 21 Machi, 2026.

Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Bin Zubeir akitoa salaam za Eid El-Fitri ikiwa sehemu ya kuhitimisha Swala ya Eid El-Fitri ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki ibada hiyo iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI), Kinondoni jijini Dar es Salaam tarehe 21 Machi, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiagana na wananchi waliohudhuria swala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI), Kinondoni. jijini Dar es Salaam tarehe 21 Machi, 2026.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment