" DRAMA: DEGREE ISIYOONGEA

DRAMA: DEGREE ISIYOONGEA

  

🎓DRAMA:  DEGREE ISIYOONGEA 🎓

Kuna ndoto ambazo vijana wengi wanazipigania kwa jasho na machozi…
Lakini je, mwisho wake huwa kama walivyotarajia?

Wengine wanahitimu kwa furaha…
Lakini maisha halisi yanapokuja, mambo hubadilika.

💔 Kuna ukweli ambao hauonekani kwenye vyeti…
Kuna simulizi ambazo hazisemwi hadharani…

🎯 Swali la kujiuliza:
JE, DEGREE PEKE YAKE INATOSHA KUJENGA MAISHA BORA?

🔥 Shy Talent Films wanakuletea simulizi ya kugusa moyo,
inayoakisi maisha halisi ya vijana baada ya elimu—
hadithi itakayokufungua macho na kubadilisha mtazamo wako.

🎭 DEGREE ISIYOONGEA
👉 Hadithi ya ukweli… ambayo wengi wanaishi, lakini wachache wanathubutu kuusema.


Post a Comment

Previous Post Next Post