LIVE: UFAFANUZI KUHUSU RIPOTI YA MATUKIO YA OKTOBA 29
Misalaba Media0
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.
Post a Comment