" Mahakama ya Rufani Yarejesha Shughuli za Kisiasa za Chadema

Mahakama ya Rufani Yarejesha Shughuli za Kisiasa za Chadema

 

Mahakama ya Rufani Kanda ya Dodoma, Aprili 15, 2026 imetengua maamuzi ya Mahakama Kuu yaliyokizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya shughuli za Siasa nchini, kufuatia kesi iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed (aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar), Maulidah Anna Komu na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya chama hicho.

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala amesema taarifa zaidi kuhusu hatua hiyo itatolewa.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

 

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post