Na, Egidia Vedasto, Misalaba Media Arusha.Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) Unaendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha. Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Nchi Dr. Mwigulu Nchemba.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment