" Timu ya Basketi Dar City Kutoka Tanzania Yafungwa Kwa Mara ya Kwanza

Timu ya Basketi Dar City Kutoka Tanzania Yafungwa Kwa Mara ya Kwanza

 

Timu ya Basketi Dar City Kutoka Tanzania Yafungwa Kwa Mara ya Kwanza
Timu ya Basketi Dar City Kutoka Tanzania Yafungwa Kwa Mara ya Kwanza

Timu ya mpira wa kikapu ya Dar City kutoka Tanzania imepoteza kwa mara ya kwanza kufuatia kipigo cha vikapu 118 kwa 97 dhidi ya Al Ahly Benghazi ya Libya kwenye Michuano ya BAL 2026, (Basketball African League)

Dar City ambayo ilishinda michezo miwili mfulululizo kabla ya kipigo cha leo imesaliwa na michezo miwili dhidi ya Petro de Luanda ya Angola Aprili 3, 2026 kabla ya kuvaana na RSSB Tigers ya Rwanda Aprili 4, 2026.

Michezo hiyo miwili inatarajiwa kuamua hatma Wawakilishi hao pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo inayoendelea Nchini Afrika Kusini.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

 
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post