" YANGA SC YAICHAPA 3-0 TANZANIA PRISONS

YANGA SC YAICHAPA 3-0 TANZANIA PRISONS






Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania, Yanga SC, wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo uliopigwa leo, Aprili 4, 2026, kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.

Mabao ya Yanga SC yalifungwa na mshambuliaji Allan Okello, Mudathir Yahya Abbas, pamoja na Pacôme Zouzoua.

Post a Comment

Previous Post Next Post