Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Switbert Mkama akipata maelezo mbalimbali wakati akitembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) wakati wa Maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma, ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais inaratibu maonesho hayo kuelekea Siku ya Mazingira Duniani Juni 05, 2026.


Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Switbert Mkama akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukagua banda la Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) wakati wa Maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma, ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais inaratibu maonesho hayo kuelekea Siku ya Mazingira Duniani Juni 05, 2026.


aibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Switbert Mkama akiangalia jiko la kunyomea nyama linalotumia nishati ya gesi badala ya mkaa alipotembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati wa Maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma, ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais inaratibu maonesho hayo kuelekea Siku ya Mazingira Duniani Juni 05, 2026.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Switbert Mkama akiangalia gari linalotumia mfumo wa gesi asilia kupunguza matumizi ya mafuta yanasababisha uzalishaji wa gesijoto alipotembelea banda la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) wakati wa Maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma, ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais inaratibu maonesho hayo kuelekea Siku ya Mazingira Duniani Juni 05, 2026.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Switbert Mkama (wa tatu kushoto) akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa miche alipotembelea banda la Wizara ya Kilimo kwenye Maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma, ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais inaratibu maonesho hayo kuelekea Siku ya Mazingira Duniani Juni 05, 2026. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment