Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius J. Ndejembi (Mb.), amewasili mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian, leo tarehe 29 Juni, 2026.
Akiwa mkoani Tanga, Waziri Ndejembi atatembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya nishati, ikiwemo Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika eneo la Chongoleani, Tanga, unaolenga kusafirisha mafuta ghafi yaliyogunduliwa nchini Uganda kwenda kwenye masoko ya kimataifa
Katika ziara hiyo, Waziri Ndejembi ameambatana na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment