BINTI AFUNGUKA JINSI NDOTO YAKE YA KUWA MTANGAZAJI ILIVYOZIMWA NA WAZAZI, ATAMANI KUKUTANA NA MEENA ALLY
Binti mmoja amefunguka kuwa ndoto yake tangu utotoni ilikuwa ni kuwa mtangazaji, lakini wazazi wake walimlazimisha kusomea fani nyingine tofauti na aliyoitamani. Akizungumza kuhusu safari yake, amesema licha ya kupitia changamoto hiyo, bado hajakata tamaa ya kutimiza ndoto yake ya kuwa mtangazaji siku moja. Aidha, ameeleza kuwa mtangazaji Meena Ally ndiye mfano wake wa kuigwa (role model) katika tasnia ya utangazaji, akisema amekuwa akivutiwa na namna anavyowasilisha vipindi na kujenga taaluma yake.SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment