🚨 DRAMA MPYA: IMANI NA TIBA 🎬
Je, umewahi kujiuliza...
❓ Ni kweli mwenye UKIMWI akiombewa anapona?
❓ Kuna UKIMWI unaotokana na ushirikina?
Maswali haya na mengine mengi yanajibiwa kupitia drama yenye mafunzo, inayogusa maisha ya kila siku na kuhamasisha jamii kuhusu nafasi ya imani na tiba katika kukabiliana na changamoto za afya.
📅 Inatoka Jumamosi
🕗 Saa mbili asubuhi
Usikose kuitazama kupitia Misalaba Media na SHY Talent Films.
🎥 IMANI NA TIBA
Si kila unachosikia ni kweli... Tafuta ukweli kabla ya kuamini.
👇TAZAMA HAPA CHINI DRAMA AMBAZO ZILISHATOKA👇
1. MBUKE
2. CONTENT YA MWISHO
3. BARIDI YA NDANI DRAMA
4. DEGREE ISIYOONGEA

Post a Comment