" HAALAND AIONDOA BRAZIL, NORWAY YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

HAALAND AIONDOA BRAZIL, NORWAY YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

 Norway imeandika historia kwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuifunga Brazil mabao 2-1 katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa Julai 5,2026

Nyota wa Norway, Erling Haaland, alikuwa shujaa wa mchezo huo baada ya kufunga mabao yote mawili katika dakika za 79 na 90, na kuipeleka nchi yake robo fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia.

Brazil ilipata nafasi kadhaa za kufunga lakini ilishindwa kuzitumia, ikiwemo mkwaju wa penalti uliokoswa kipindi cha kwanza. Neymar aliifungia Brazil bao la kufutia machozi kwa penalti katika muda wa nyongeza.

Kwa ushindi huo, Norway sasa inasonga mbele kusubiri mshindi wa mchezo kati ya Mexico na England katika hatua ya robo fainali, huku Brazil wakiaga mshindano    

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post