" Misalaba Media inawatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo kuomba nafasi ya kazi

Misalaba Media inawatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo kuomba nafasi ya kazi

    

 TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

Misalaba Media inawatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo kuomba nafasi ya kazi ifuatayo:

VIDEOGRAPHER + GRAPHIC DESIGNER (NAFASI 1)

Sifa za Mwombaji

  • Awe na elimu ya Graphic Design au taaluma nyingine zinazofanana.
  • Awe na uwezo wa kupiga picha na kurekodi video zenye ubora.
  • Awe na uzoefu wa kuhariri video kwa kutumia programu kama Adobe Premiere Pro au nyingine zinazofanana.
  • Awe na uwezo wa kutengeneza mabango (posters), thumbnails, logos na kazi nyingine za Graphic Design kwa kutumia Adobe Photoshop au programu zinazofanana.
  • Awe mbunifu na mwenye nidhamu.
  • Awe tayari kufanya kazi ndani na nje ya Mkoa wa Shinyanga pale inapohitajika.
  • Uzoefu wa kufanya kazi kwenye taasisi ya habari au kampuni ya uzalishaji wa maudhui utakuwa ni faida ya ziada.

Jinsi ya Kutuma Maombi

Waombaji watume barua ya maombi pamoja na:

  • Wasifu binafsi (CV).
  • Nakala za vyeti vya taaluma.
  • Sampuli za kazi (Portfolio) au viungo vya kazi walizowahi kufanya (ikiwa vipo).

Maombi yote yatumwe kupitia barua pepe:
misalabamedia@gmail.com

Ofisi Kuu za Misalaba Media zipo Shinyanga Mjini, karibu na Stand ya Zamani.

Mawasiliano

Simu: +255 745 594 231

Mwisho wa Kutuma Maombi

Tarehe 30 Julai, 2026.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post