" HERI YA NANE NANE: TUNAIHESHIMU KAZI YA MKULIMA, MKULIMA NI NGUZO YA CHAKULA NA UCHUMI WA TAIFA

HERI YA NANE NANE: TUNAIHESHIMU KAZI YA MKULIMA, MKULIMA NI NGUZO YA CHAKULA NA UCHUMI WA TAIFA

  Heri ya Nane Nane! 🇹🇿

Leo, MISALABA MEDIA inaungana na Watanzania wote kuadhimisha Siku ya Wakulima, Nane Nane.

Tunatoa pongezi na shukrani za dhati kwa wakulima wote kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kulisha taifa na kuchangia ukuaji wa uchumi wa nchi.

🌱 Asante mkulima kwa kulisha taifa.
🌾 Asante kwa kazi yako, jasho lako na mchango wako kwa maendeleo ya Tanzania.

Heri ya Nane Nane kutoka MISALABA MEDIA – “Habari kwa Maslahi ya Umma.” 

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post