Askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga na msanii wa Hip Hop, Nyumbu Mjanja (CPL Gabriel Kayaga), amepata nafasi ya kutumbuiza katika Maonesho ya Nanenane Kitaifa ambayo yamefanyika jijini Dodoma.
Nyumbu Mjanja, ambaye amekuwa akitumia sanaa yake kufikisha ujumbe wa elimu na uhamasishaji kwa jamii.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment