Wanafunzi wa Shule ya msingi Bushola iliyopo Kata ya Mwamalili Manispaa ya Shinyanga wamepatiwa elimu kuhusu ukatili wa kijinsia na jinsi ya kujikinga.Elimu hiyo imetolewa na Mkaguzi msaidizi wa Polisi Shella Zongo ambaye ni Polisi Kata ya Mwamalili ambapo amewaeleza jinsi ya kujitambua na kuripoti vitendo vya ukatili mashuleni na nyumbani pindi vinapotendeka.Aidha amewafundisha wanafunzi hao njia sahihi ya kuripoti matukuo ya kiharifu na waharifu ili kuweza kutokomeza vitendo vya kiharifu shuleni na mazingira ya makazi wanayoishi.Kwaupande wao wanafunzi hao wamesema wamefaidika na elimu hiyo na wameahidi kuwafundisha na wenzao waliokosa.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment