Wananchi na wafanyabiashara wa Kijiji Cha Bushola katika kata ya Mwamalili Manispaa ya Shinyanga wamepatiwa elimu ya ulinzi shirikishi ili kuweza kuzuia vitendo vya kiharifu katika katika maeneo Yao.Elimu hiyo imetolewa na Mkaguzi msaidizi wa Polisi Shella Zongo Polisi Kata ya Mwamalili ambapo amewataka wananchi hao kushirikiana Kwa ukaribu na Jeshi la Polisi ili kuweza kuzuia vitendo vya kiharifu pamoja na kutokomeza uharifu katika maeneo yao.Aidha wananchi hao wamesisitizwa kutoa taarifa za uharifu na waharifu kitendo ambacho kitasaidia kutokomeza uharifu katika kata yao.
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment