Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi, ambapo Bi. Hellen Emmanuel Mwambeta amehamishwa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Siha na kwenda kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Uteuzi na uhamisho huo umefanyika leo, Septemba 29, 2026 ikumbukwe kuwa Mwambeta awali aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha katika uteuzi wa Rais uliotangazwa Julai 16, 2025.
PROFESSOR MGOKO EPISODE 03
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254







Post a Comment