Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Ostabay jijini Dar es Salaam.
Pamoja na mambo mengine, Viongozi wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida huku Serikali ikiwa tayari kusikiliza na kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva.

PROFESSOR MGOKO EPISODE 2
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652
Post a Comment