
*Awataka kufanya kazi kwa bidii na weledi na kuzingatia maadili ya kazi;
*Asisitiza nidhamu mahali pa kazi na ushirikiano kwenye idara zao.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Balozi Waziri Salum amekutana na kuzungumza na waajiriwa wapya wa Wizara ya Viwanda na Biashara Oktoba 12,2026 katika Ofisi za Wizara zilizopo Mtumba jijini Dodoma.
Balozi waziri awataka waajiriwa hao kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii na kwa weledi ili kusaidia sekta ya viwanda na biashara.
Aidha amewataka kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata maadili ya kazi na kwa ushirikiano kutoka kwenye idara zao mpaka kwa wananchi wanaowahudumia ili kuleta matokeo chanya kwa Wizara.

PROFESSOR MGOKO EPISODE 05
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 09
Post a Comment