Abiria wa masafa marefu wamepatiwa elimu ya usalama barabarani ikiwa ni pamoja na umuhimu wa kufunga mikanda ya usalama wanapokuwa wamekaa kwenye viti ndani ya gari Akitoa elimu hiyo katika Stendi kuu ya Mabasi Mkoa wa Shinyanga Mkuu wa Polisi Kikosi Cha usalama barabarani Wilaya ya Shinyanga Mrakibu msaidizi wa Polisi Zainabu Mangara amewaelewesha abiria hao kuwa wanapofunga mikanda kwenye viti walivyokaa itawasaidia kujiepusha na madahara pindi inapotokea mtikisiko mkubwa kwenye gari walilopanda kwani mikanda waliyofunga itawazuia kuto kurushwa badala yake wataendelea kuwa Salama ndani ya gari.Aidha Mrakibu msaidizi wa Polisi Zainabu Mangara amewataka abiria wote kujijengea tabia ya kutii Sheria bila shuruti Kwa kufuata Sheria za usalama barabarani ili kuendelea kuzuia ajali za mara Kwa mara wawapo safarini
PROFESSOR MGOKO EPISODE 07
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment