Ushindi wa magoli 2–1 umetosha kuwapa tabasamu watendaji wa Halmashauri ya Mji Kasulu, baada ya timu yao ya mpira wa miguu kuibuka na ushindi dhidi ya timu ya watumishi wa umma wa Kata ya Kasanda, Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko katika mchezo wa kirafiki uliojaa ushindani mkubwa.Mchezo huo uliofanyika katika viwanja vya Kibogora ulikuwa na lengo la kuimarisha uhusiano na mshikamano miongoni mwa watumishi hao, pamoja na kukuza fursa za maendeleo kupitia michezo.Tunawapongeza wapambanaji wote kwa moyo wa kujituma, nidhamu na uzalendo katika kuipambania Halmashauri ya Mji Kasulu.
PROFESSOR MGOKO EPISODE 07
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254








Post a Comment