Ofisi ya Takwimu ya Taifa Mkoani Geita imewataka wananchi kufika katika maonesho ya 9 kitaifa ya sekta ya madini Geita waweze kupata maarifa kuhusiana na huduma zinazotolewa zenye manufaa hapa nchini.
Wito umetolewa leo kwenye maonesho hayo mjini humo na Meneja wa Takwimu mkoani Geita, Halid Msabaha alipokuwa akielezea kazi zifanywazo na idara hiyo hapa nchini.
"Ni busara kuwa na taarifa sahihi toka kwenye idara yetu kuepuka kuwa na taarifa potofu" alisema Msabaha.
Alisema wanaelimisha na kuhamasisha waanchi kufahamu taarifa za idadi ya watu, uchumi, biashara, afya, elimu na zingine nyingi kuwezesha jamii kuwa na taarifa sahihi itakayo wafanya kupangilia mambo yao vizuri kwa usahihi.
PROFESSOR MGOKO EPISODE 03
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment