Na Mapuli
Kitina Misalaba
Chama cha
Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya Shinyanga kimeadhimisha Siku ya Mwalimu
Duniani kwa kukutanisha walimu na viongozi wa chama hicho katika hafla
iliyolenga kuimarisha umoja, mshikamano na mahusiano mema miongoni mwa walimu.
Maadhimisho
hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa CWT, akiwemo Mwakilishi wa Walimu
Wanawake Wilaya, Bi. Rose Mabana, ambaye ameambatana na viongozi wa Kamati ya
Jinsia na Walimu Wanawake wa Manispaa ya Shinyanga, wakiongozwa na Mwenyekiti
wa kamati hiyo, Bi. Subira Kuhenga, pamoja na Mweka Hazina, Bi. Stella
Halimoja.
Mgeni rasmi
katika hafla hiyo ni Mwenyekiti wa CWT Manispaa ya Shinyanga, Bwana Meshack
Mashigala, ambaye ameungana na walimu wengine kushiriki katika maadhimisho hayo
yaliyokuwa na lengo la kuwakutanisha walimu nje ya majukumu yao ya kila siku ya
ufundishaji.
Katika hafla
hiyo, walimu wamepata fursa ya kuonesha vipaji na uwezo wao katika shughuli
mbalimbali nje ya taaluma ya ualimu. Shughuli hizo zimetoa nafasi kwa walimu
kubadilishana uzoefu, kufahamiana zaidi na kuimarisha mahusiano yao katika
mazingira ya kijamii na kikazi.
Aidha, hafla
hiyo imehusisha zoezi la kukata keki na kula pamoja, ikiwa ni sehemu ya
kusherehekea siku hiyo muhimu kwa walimu na kuendeleza hali ya umoja na
mshikamano miongoni mwao.
Maadhimisho
hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Kamati ya Jinsia na Walimu Wanawake ya CWT
Manispaa ya Shinyanga, ambayo imeratibu shughuli mbalimbali zilizowakutanisha
walimu katika kuadhimisha siku hiyo.
Siku ya
Mwalimu Duniani huadhimishwa kila mwaka Oktoba 5, kwa lengo la kutambua mchango
wa walimu katika elimu na maendeleo ya jamii, pamoja na kuhamasisha juhudi za
kuboresha mazingira ya kazi na hadhi ya taaluma ya ualimu.
Kupitia maadhimisho hayo, walimu wamepata fursa ya kuendeleza mshikamano na kutambua umuhimu wa kushirikiana katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku ya kutoa elimu na kujenga msingi wa maendeleo ya jamii.
Walimu wa CWT Manispaa ya Shinyanga wakiburudika kwa nyimbo na ngoma mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani.
Zoezi la kuimba wimbo maalum wa walimu likiendelea kama sehemu ya salamu zao wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani ya CWT Manispaa ya Shinyanga.

Mwenyekiti wa CWT Manispaa ya Shinyanga, Bwana Meshack Mashigala, akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani kama mgeni rasmi.
Walimu wa CWT Manispaa ya Shinyanga wakiburudika kwa nyimbo na ngoma mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani.
Walimu wa CWT Manispaa ya Shinyanga wakiwa ukumbini wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani.

Picha ya pamoja ya baadhi ya walimu waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani Manispaa ya Shinyanga.

Mweka Hazina wa Kamati ya Jinsia na Walimu Wanawake CWT Manispaa ya Shinyanga, Bi. Stella Halimoja, akizungumza.

Mweka Hazina wa Kamati ya Jinsia na Walimu Wanawake CWT Manispaa ya Shinyanga, Bi. Stella Halimoja, akizungumza kuelekea kwenye zoezi la Keki.

Mwakilishi wa Kamati ya Jinsia na Walimu Wanawake Wilaya, Bi. Rose Mabana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo CWT Manispaa ya Shinyanga, Bi. Subira Kuhenga, pamoja na Mweka Hazina, Bi. Stella Halimoja, wakikata keki kwa pamoja wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani yaliyofanyika Manispaa ya Shinyanga.

Zoezi la kula keki likiendelea katika maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani ya CWT Manispaa ya Shinyanga.

Walimu wakishiriki maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani yaliyoandaliwa na CWT Manispaa ya Shinyanga.
Zoezi la kula keki likiendelea katika maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani ya CWT Manispaa ya Shinyanga.
Zoezi la kula keki likiendelea katika maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani ya CWT Manispaa ya Shinyanga.
Zoezi la kula keki likiendelea katika maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani ya CWT Manispaa ya Shinyanga.
Walimu wa CWT Manispaa ya Shinyanga wakiburudika kwa nyimbo na ngoma mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani.
Walimu wakishiriki maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani yaliyoandaliwa na CWT Manispaa ya Shinyanga.
Walimu wa CWT Manispaa ya Shinyanga wakiburudika kwa nyimbo na ngoma mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani.
Walimu wa CWT Manispaa ya Shinyanga wakiburudika kwa nyimbo na ngoma mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani.
Walimu wa CWT Manispaa ya Shinyanga wakiburudika kwa nyimbo na ngoma mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani.
Walimu wa CWT Manispaa ya Shinyanga wakiburudika kwa nyimbo na ngoma mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani.
Walimu wakishiriki maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani yaliyoandaliwa na CWT Manispaa ya Shinyanga.
Walimu wakionesha vipaji vyao mbalimbali katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani Manispaa ya Shinyanga.

Zoezi la chakula cha pamoja likiendelea katika maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani yaliyoandaliwa na CWT Manispaa ya Shinyanga.

Zoezi la chakula cha pamoja likiendelea katika maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani yaliyoandaliwa na CWT Manispaa ya Shinyanga.PROFESSOR MGOKO EPISODE 05
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment