TANZANIA HAPPY NYERERE DAY | OKTOBA 14, 2026
Leo, Tanzania inaadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kiongozi aliyetoa mchango mkubwa katika harakati za kupigania uhuru, kujenga umoja wa kitaifa na kuimarisha mshikamano wa Watanzania.
Siku hii inatukumbusha umuhimu wa uzalendo, amani, umoja, usawa na kujitolea kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu.
TUNAMKUMBUKA MWALIMU NYERERE, TUNADUMISHA URITHI WAKE TZ
PROFESSOR MGOKO EPISODE 05
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment