Timu ya mpira wa pete (Netball) ya watendaji wa Halmashauri ya Mji Kasulu imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya watumishi wa umma wa Kata ya Kasanda, Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko na kupoteza kwa jumla ya magoli 24–15.Mchezo huo umechezwa katika viwanja vya Kibogora ukiwa na lengo la kuimarisha uhusiano na mshikamano miongoni mwa watumishi hao, pamoja na kufungua fursa mbalimbali za maendeleo kupitia michezo.Aidha, tunawapongeza wachezaji wote kwa juhudi, moyo wa kujituma na ushirikiano walioonyesha uwanjani licha ya matokeo kutokuwa upande wao lakini maendeleo na kuimarika kwa timu vinaonekana wazi, jambo linalotoa matumaini ya kufanya vizuri zaidi katika michezo ijayo.Msikate tamaa, wapambanaji wote kwani Bingwa hujengwa kwa uvumilivu, nidhamu na mazoezi ya mara kwa mara, Endeleeni kujituma, kuaminiana na kushirikiana kwani kila mchezo ni fursa ya kujifunza na kuwa bora zaidi. Tupo nyuma yenu katika kila hatua, moyo imara, timu moja! 🏐💪
PROFESSOR MGOKO EPISODE 07
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254









Post a Comment