
Naamini familia nyingi zinaenda kanisani na misikitini kuabudu. Benki yako pendwa ya CRDB iko nawe kila ulipo kupitia Simbanking App
Ukiwa na simbaking huna haja ya kubeba pesa au kumpa
shida shemasi kuhesabu na kutunza pesa za zaka na sadaka. Tumia simbanking
kutoa sadaka. Ingia kwenye Simbaking App kisha fanta hivi
1. Nenda kutuma pesa
2. Chagua kwenda CRDB
3. Weka akauti ya kanisa au msikiti
4. Andika jina lako na aina ya sadaka
5. Hakiki jina la kanisa/msikiti
6. Hakiki malipo kisha omba risiti (slip)
7. Mtumie mhazini wako risiti
Usiwape waumini wenzako shida ya kukusanya na
kuhesabu matoleo. CRDB imekusoti, tumia Simbaking.
Kama kanisa au msikiti wako hauna akauti ya CRDB
waambie wafungue leo akauti ya SADAKA ambayo haina makato yeyote. Waambie na
waumini wafungue akauti CRDB kufurahia huduma hii. Zaka na sadaka imerahisishwa
na waumini wote walioko nyumbani na kwenye nyumba za ibada wanaweza kujumuika
kwenye zaka na sadaka mahali popote na wakati wowote.
CRDB Bank - Tunakusikiliza
Post a Comment