Salaam ndugu! Mpendwa,
kwa Moyo wa Upendo na Huruma nina ombi la msaada wako wa HALI na MALI kwa
watoto Mazura wa Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia, watoto Yatima na Watoto wanao
toka katika Mazingira hatarishi (Magumu) wanao lelewa katika Kituo cha AGAPE Knowledge
Open School, Mtaa wa Busambilo, Kata ya Chibe, Manispaa na Mkoa wa Shinyanga.
Kituo kina Jumla ya
watoto 78 ni wa Kike tu. Mahitaji/Mapungufu ni_
1. Chakula.
2. Viandikia mf
Daftari nk.
3. Pedi
4. Sabuni
5. Mafuta ya kujipaka
6. Sare za Shule
7. Magodoro
8. Viatu.
Barikiwa katika
Majitoleo yako kwa kutumia Akaunti namba zifuatavyo:
1. Benki ya Posta, A/C
No ni 01600007601 kwa fedha za Kitanzania (Tshs). Jina AGAPE AIDS Control
Progam.
2. Benki ya EXIM, A/C
N0 ni 0250003289 kwa fedha za Kigeni (Dollor). Jina ni Agape AIDS Control
Programme
Mungu akawe Baraka
katika Majitoleo yako. AMEN.
Kwa Mawasiliano zaidi.
0623528183
John Myola
Mkurugenzi. Agape AIDS
Control Program na Agape Knowledge Open School.
Asante.
Toffee Up Town best public
influencer wa shinyanga![]()
Post a Comment