Mahindi hayo yametolewa na serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA ili kuwauzia wananchi kwa bei nafuu ya shilingi Mia nane hamsini (850) badala ya shilingi elfu moja mia tano (1500) bei ya sokoni.
Lengo la serikali ni kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi wake unaotokana na sababu mbalimbali ikiwemo mtikisiko wa kiuchumi, na ukame uliosababishwa na mabadiliko ya tabia Nchi,
Post a Comment