
Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu, amemteua na kumtangaza rasmi Padre Paul Mahona kuwa Katibu mpya wa Askofu, ambaye anashika nafasi iliyoachwa wazi na Padre Deusdedith Kisumo, ambaye amekwenda masomoni nchini Hispania.
Kutokana na majukumu hayo, Padre Mahona amehamishiwa makao makuu ya Jimbo katika Parokia ya Ngokolo.
Post a Comment