Mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Mkoa wa Shinyanga, Map Mastar MKM (Mapuli Misalaba) kesho Ijumaa April 14,2023 anatarajia kutambulisha Video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina – Kataa Ukatili.
Msanii huyo ambaye pia ni kiongozi kwenye kampeni ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) katika nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya uhamasishaji SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga.
Amesema aliandaa wimbo huo ili kuisaidia serikali kuhamasisha jamii kutoa taarifa za ukatili katika Taifa hili la Tanzania.
Post a Comment