" Waziri Mkenda ''Maandalizi ya MAKISATU yamekamilika

Waziri Mkenda ''Maandalizi ya MAKISATU yamekamilika

 

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema maandalizi yote muhimu kwa ajili ya wiki ya Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yamekamilika tayari kwa kuanza April 24 - 28, 2023 yakishilikisha wabunifu kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi.


Post a Comment

Previous Post Next Post