Msanii wa Hip Hop kutoka Mkoa wa Shinyanga NYUMBU MJANJA ambaye pia ni Polisi jamii wa Mkoa wa Shinyanga CPL. Gabriel ameachia Video ya Wimbo wake inayokwenda kwa jina la MIMI NA WEWE akiwa amemshirikisha Kaneto.
Tazama Video hii pia share na Comment, You Tube usisahau ku Subsribe kwenye Channel ya Nyumbu Mjanja
Post a Comment