" PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA JUBILEI YA MIAKA 75 PAROKIA YA BIKIRA MARIA MSAADA WA DAIMA (MWANANGI) WILAYANI BUSEGA MKOANI SIMIYU

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA JUBILEI YA MIAKA 75 PAROKIA YA BIKIRA MARIA MSAADA WA DAIMA (MWANANGI) WILAYANI BUSEGA MKOANI SIMIYU

Picha za matukio mbalimbali wakati wa adhimisho la Misa takatifu ya Jubilei ya miaka 75 Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima (Mwanangi) Wilayani Busega Mkoani Simiyu.
Misa hiyo imeongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu, ikumbuikwe kuwa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima (Mwanangi) ilianzishwa mwaka 1949 na leo tarehe 25.08.2024 imetimiza miaka 75.

 

Post a Comment

Previous Post Next Post