Dk 45 za kwanza Namungo walionekana kung’ata meno - Wakifika kwenye kila tukio kwa wakati kwenye yale maeneo ambayo Yanga walikua wanapitisha mipira yao.
Coach Mgunda aliamua kuwaheshimu Yanga na kuwaachia wacheze mpira wao. Setup ya Namungo 4-4-2 katika wakati wa kukaba iliwanyima nafasi Yanga kutumia nguvu yao kati kati. Option pekee ilibaki kupitia pembeni ambako Yanga walikua hawana makali sana.
Pembeni Yanga hawakua na ufanisi. Kwanini?
Yao Kouassi na Kibabage ambao walikua wakitegemewa kumwaga maji ndani, hawakua na usahihi wa krosi. Kibabage mara kadhaa ameonekana kukosa ufanisi wa krosi zake ambazo mara nyingi zinakua hazina nguvu wala kuwa na macho ya kufika kwenye boksi kwa usahihi. Hii iliwanyima Yanga uwezo wa kuwa na options za kutengeneza mashambulizi yao
Ni dk 45 za kwanza ambazo Yanga alitengeneza clear-chance moja pekee ambayo Aziz Ki alishindwa kufunga bao kwa mzungusho wake uliokula mwamba.
Yanga ilirudi vipi kipindi cha pili?
Kwanza, Max alirudishwa kucheza zaidi kama winga ya kushoto tofauti na mwanzo alipokua anapokelea mpira zaidi kwenye left half space. Hii iliwapa Yanga advantage ya kutanua defence line ya Namungo na kupata nafasi za kupitisha mipira kutoka kwa mido zao.
Ni nyakati hii ambayo Yanga imefanya ‘tactical-switch’ ndipo Max alipata nafasi ya kutoa nafasi ya bao kwa Musonda.
Namungo walishindwa kuendana na kasi ya ‘Ujanja Ujanja’ wa Ramovic kubadilisha mfumo kipindi cha pili. Hii ilimpa Mgunda wakati mgumu asijue nini cha kufanya. Na hata alipoamua kuitoa timu chini ianze kushambulia, still Yanga walikua bora kuyameza mashambulizi yote ya Namungo ambayo yalikosa UTU na UTULIVU.
Duke Abuya - Hii ni mali. Nimependa perfomance yake ya leo. Utulivu wa upigaji pasi, nidhamu ya kucheza kwenye eneo lake. Wakati Yanga wanajiuliza nani atavaa viatu vya Aucho, Abuya akawajibu kwa vitendo; Nipeni viatu vya Aucho, nifunge kamba, nichape pasi za upendo, mpate pira burudani.
Ushindi wa kwanza kwa Ramovic ligi kuu, ushindi wa muhimu kwa Yanga kurudisha morali yao.
FULL TIME: Namungo 0-2 YANGA
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : NBC Premier League
NAMUNGO FC 0-2 YOUNG AFRICANS SC
⚽️ 46” Musonda
⚽️ 67” Pacome
ALIYENITAPELI FEDHA AAMUA KUZIRUDISHA BAADA YA KUFANYA HIVI!
Hakuna kitu kinaumiza kama
kutapeliwa, utapeli umewaigiza watu wengi katika msongo wa mawazo baada ya
kupoteza vitu vyao vya thamani kama mali na fedha.
Ubaya ni kwamba matapeli
wana mbinu ambazo hata Polisi kuna muda wanashindwa kuzitambuza, na kila mara
wanakuja na mbinu mpya za utapeli ambazo hata wananchi tunakuwa hatuzitambuia
kwa haraka.
Jina langu ni Ally kutokea
Kagera, Tanzania, Februari mwaka jana nilipigiwa simu na mtu ambaye
alijitambulisha kama Mwalimu wa Shule ambayo mtoto wangu anasoma na kusema kuwa
mtoto wangu anaumwa sana hivyo nitume fedha ya matibabu.
Habari ile ilinichanganya
sana na kuweza kutafuta kiasi hicho cha fedha na kutuma, kesho yake alinipigia
tena simu na kuniambia fedha haijatosha hivyo niongeze, nilitafuta kiasi hicho
cha fedha na kutuma mara moja, waliniambia watanijulisha.
Naweza kusema kwamba watu
hawa wanatumia nguvu za giza au dawa kufanya mambo yao maana wakati wote natuma
fedha hizo sikuwa hata wazo la kumtafuata Mwalimu ambaye nilikuwa nawasiliana
naye hapo awali.
Baadaye nilipiga namba ile
ikawa ipo bize tu na baadaye ikawa haipatikani na hapo ndipo nikajua
nimetapeliwa.
Niliumia sana, rafiki yangu
mmoja alikuja nyumbani na kunikuta katika lindi la mawazo kufuatia utapeli huo,
alinifariji na kuniambia tunaweza kufanya jambo.
Nalo ni kuwasiliana na Dr
Bokko ambaye ni kiboko ya matapeli wote, tuliweza kuwasiliana naye kupitia
namba yake ya Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Dr Bokko kwa namba;
+255618536050 na kumueleza shida yangu.
Alinisikiliza kwa makini na
kuniambia mtu aliyenitapeli si wa mbali ananifahamu vizuri tu, hivyo nisijali
fedha zangu zitarudi.
Baada ya siku mbili
nilipokea simu kwa namba ngeni, mtu aliongea kwa sauti ya chini na maumivu
makali sana, alisema yeye ndiye aliyenitapeli fedha zangu, akasema
atanirudishia zote na nyinginezo.
Sikuwa na mambo mengi,
nilikubaliana naye na muda mfupi alizituma kwa simu yangu.
Mwisho.
Post a Comment