" DKT. BITEKO AITAKA AFRIKA KUIMARISHA ELIMU MTANDAO KUCHAGIZA UCHUMI WA KIDIJITALI

DKT. BITEKO AITAKA AFRIKA KUIMARISHA ELIMU MTANDAO KUCHAGIZA UCHUMI WA KIDIJITALI

 

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka nchi za Afrika kuungana ili kuleta mapinduzi ya elimu mtandao na kujenga uchumi wa kidigitali.


Dkt. Biteko ameyasema hayo Mei 08, 2025 jijini Dar es Salaam akifungua kongamano la 18 la e-Learning Africa ambapo amezitaka nchi za Afrika kuungana pamoja ili kuleta mapinduzi ya elimu mtandao na kujenga uchumi imara wa kidigitali.

Amesema ushirikiano utasaidia kuleta mageuzi ya kidijitali ambayo ni jumuishi na yenye kutatua changamoto mbalimbali kuchangia ustawi wa muda mrefu wa Afrika” alisema Biteko.

Post a Comment

Previous Post Next Post