" RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAHUTUBIA VIONGOZI NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA HAFLA YA UTOAJI WA TUZO ZA SAMIA KALAMU AWARDS 2025

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAHUTUBIA VIONGOZI NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA HAFLA YA UTOAJI WA TUZO ZA SAMIA KALAMU AWARDS 2025


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi, Wadau wa habari pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.


Post a Comment

Previous Post Next Post