TANZIA: Rais wa zamani wa Zambia Edgar Chagwa Lungu, amefariki Dunia Juni 5, 2025 akiwa na Umri wa Miaka 68 akiwa anapatiwa matibabu nchini Afrika Kusini (Chama chake cha Patriotic Front (PF) kimesema Edgar)
Lungu aliongoza Taifa la Zambia kwa kipindi cha Miaka sita ( 2015 – 2021) Alichukua Madaraka baada ya kifo cha Mtangulizi wake, Michael Sata. Alishinda Uchaguzi mdogo wa Rais Januari 2015 na kisha akachaguliwa tena kwa muhula kamili Mwezi Agosti 2016.
Post a Comment