" BODI ya Ligi Kuu Tanzania Yasogeza Mbele Mchezo ya Dabi Yanga na Simba

BODI ya Ligi Kuu Tanzania Yasogeza Mbele Mchezo ya Dabi Yanga na Simba

 

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni.

Mchezo huo sasa utafanyika Juni 25, 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni.

Bodi inazitakia maandalizi mema klabu za Yanga na Simba kuelekea mchezo huo.

Post a Comment

Previous Post Next Post