🟡 GOLDBERG – BIA YA KIWANGO CHA JUU
🌟 GOLDBERG – "BEER OF OUR OWN CLASS" 🌟
Kutoka kiwanda cha kisasa kilichopo Shinyanga, Tanzania – kampuni ya East African Spirits (T) Ltd inakuletea GOLDBERG, bia yenye ladha laini na ya kipekee inayomuweka mnywaji katika daraja la watu wanaojitambua.
Ikiwa na asilimia 4.4% ya kilevi, Goldberg ni chaguo sahihi kwa mnywaji anayetaka burudani yenye hadhi, ubora na heshima.
🔸 Ladha murua isiyochosha
🔸 Harufu ya kuvutia isiyokera
🔸 Hakuna hangover
🔸 Imetengenezwa kwa viwango vya kimataifa, kwa kutumia malighafi bora
Chagua GOLDBERG. Chagua Daraja La Juu.
Kwa wale wanaojitambua – Goldberg ni zaidi ya bia, ni mtindo wa maisha.
📍Inazalishwa na:
East African Spirits (T) Ltd
📍 Makao Makuu: Shinyanga, Tanzania
📧 info@eastafricanspirits.co.tz
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
📢 FURAHA YAKO, FAHARI YETU!
🔞 Hii ni bidhaa kwa watu waliotimia miaka 18 na zaidi. Kunywa kistaarabu.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment