" HANSON’S CHOICE – LADHA HALISI YA KITANZANIA

HANSON’S CHOICE – LADHA HALISI YA KITANZANIA

🟤  HANSON’S CHOICE – FINEST BRANDY

"Unapoitafuta ladha halisi yenye hadhi ya kifahari… jibu ni moja tu – HANSON’S CHOICE!"

Hanson’s Choice Finest Brandy, ni kinywaji bora kilichotengenezwa kwa umakini mkubwa, kikikupa ladha halisi ya Tanzania, kwa ubora wa kipekee unaoacha kumbukumbu ya furaha kila unapotumia.

👉 FURAHA YAKO, FAHARI YETU.
Kwa wateja wa kweli wa vinywaji vya kiwango cha juu, Hanson’s Choice ni chaguo sahihi kwa nyakati za starehe, sherehe, au hata mapumziko.

📍Inatengenezwa na East African Spirit (T) Ltd,
P.O. Box 707, Shinyanga – Tanzania.

📞 Mawasiliano:
+255 767 650 806 | +255 652 096 254
📧 Mawasiliano: info@eastafricanspirits.co.tz

🔞 Kumbuka: Hairuhusiwi kwa walio chini ya umri wa miaka 18. Tafadhali kunywa kwa kiasi.


🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post