" JACKLINE ISARO ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA NGOKOLO

JACKLINE ISARO ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA NGOKOLO

JACKLINE ISARO ACHUKUA FOMU YA UDIWANI KATA YA NGOKOLO

Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jackline Isaro, leo Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Udiwani wa Kata ya Ngokolo kupitia chama hicho.

Kwa sasa, mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya CCM unaendelea nchi nzima, ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post